SEMANTIKI YA MAJINA YA WALUO NCHINI KENYA
MTAZAMO WA MAWASILIANO YA KIUTAMADUNI
DOI:
https://doi.org/10.64535/ijoru.v4i2.151Keywords:
Majina ya watu, Semantiki, Utamaduni, Mawasiliano ya kiutamaduni, Waluo wa Kenya.Abstract
Majina ya watu katika jamii za Kiafrika hubeba maana zinazohusiana na utamaduni, historia na mazingira ya kijamii. Miongoni mwa Waluo wa Kenya, majina si alama za utambulisho pekee, bali pia huakisi mitazamo ya jamii kuhusu maisha na matukio yanayohusiana na kuzaliwa kwa mtoto. Ingawa tafiti mbalimbali zimechunguza majina ya Kiafrika kwa mitazamo tofauti ya kiisimu, tafiti chache zimejikita katika kuchanganua maana za majina ya Waluo kwa mtazamo wa kisemantiki. Makala hii inalenga kuchunguza ruwaza za kisemantiki katika majina ya watu miongoni mwa Waluo nchini Kenya ili kubainisha maana zinazojitokeza katika majina hayo. Data ilikusanywa kutoka orodha za majina katika afisi za usajili wa watoto katika Kaunti ya Migori, mahojiano ya wazungumzaji wa Dholuo, pamoja na maandishi kuhusu majina ya Kiafrika. Data zilichanganuliwa kwa kutumia Nadharia ya Ujinaishaji ya Mill (1970). Matokeo yanaonyesha kuwa majina ya Waluo huakisi matukio ya kuzaliwa, hali za kijamii, imani za kitamaduni na matarajio ya wazazi. Maana zilizobainika ni pamoja na maana za kihusishi, dhamirifu, kijamii na dhanishi. Makala hii inahitimisha kuwa majina ya Waluo huonesha uhusiano kati ya lugha, utamaduni na mawasiliano, na pia huhifadhi utambulisho na urithi wa kiutamaduni.
References
Ahieiva-Karkashadze, V. O. (2024). The etymology of the English names and the peculiarities of their translation from English into Ukraine. https://doi.org/10.32782/2409-1154.2024.65.48 DOI: https://doi.org/10.32782/2409-1154.2024.65.48
Babane, V. C. (2017). How language challenges affect the behavior of immigrant learners in the Foundation Phase at three schools in Gauteng, South Africa. South African Journal of Childhood Education, 10(1), 1–10. https://doi.org/10.4102/sajce.v10i1.331 DOI: https://doi.org/10.4102/sajce.v10i1.868
Bryman, A. (2012). Social research methods. Oxford University Press.
Chacha, L. M., na Malangwa, P. S. (2019). Semantiki. Longhorn Publishers.
Kayeli, E. C. (2012). The role and meaning of birth, naming, initiation, marriage and death rituals among the Logoli of Western Kenya in view of inculturating related sacraments in the Roman Catholic Church [Doctoral dissertation, University of Nairobi].
Kombo, D. K., na Tromp, D. L. A. (2006). Proposal and thesis writing: An introduction. Pauline Publications Africa.
Mandah, S. S., na Joshua, S. F. (2025). The indicative mood in Ikwere: A pragmatic approach. Journal of Natural Language and Linguistics, 3(1), 132–137. https://doi.org/10.54536/jnll.v3i1.5016 DOI: https://doi.org/10.54536/jnll.v3i1.5016
Mboya, P. (1997). Luo kitgi gi timbegi: A handbook of Luo customs (6th ed.). East African Educational Publishers.
Mensah, E., Alexander, J., na Ayeni, Q. (2022). The ethnopragmatic functions of Owe and Tiv personal names in Nigeria. Language Sciences, 91, Article 101474. https://doi.org/10.1016/j.langsci.2022.101474 DOI: https://doi.org/10.1016/j.langsci.2022.101474
Mill, J. S. (1970). What's in a name? In R. Smith (Ed.), Readings in philosophy of language (pp. 45–60). Oxford University Press.
Mokala, M. (2020). Basotho naming systems and practices: A sociolinguistic-onomastic approach. International Journal of Linguistics, Literature and Translation, 3(1). https://doi.org/10.3299/ijllt.
Msanjila, Y. P., Kihore, Y. M., na Massamba, D. P. B. (2010). Isimu jamii sekondari na vyuo. TUKI.
Obuchi, S. M., na Sangili, K. N. (2016). Taaluma ya maana: Semantiki na pragmatiki. Jomo Kenyatta Foundation.
Resani, M. (2016). Maana katika majina ya Wabena nchini Tanzania. Mulika, 35, 98–113.
Suzman, S. M. (1994). Names as pointers: Zulu personal naming practices. Language in Society, 23(2), 253–272. https://doi.org/10.1017/S0047404500017851 DOI: https://doi.org/10.1017/S0047404500017851
Tualaulelei, E. (2021). Agency and power in classroom names and naming practices. Ethnography and Education, 16(1), 18–30. https://doi.org/10.1080/17457823.2020.1716262 DOI: https://doi.org/10.1080/17457823.2020.1716262
Downloads
Published
How to Cite
Issue
Section
License
Copyright (c) 2026 International Research Journal of Rongo University

This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.
Creative Commons (CC) BY Attribution
Copyright © 2025 Rongo University. All Rights Reserved